Kayishema aliyekuwa kizuizini nchini Mali afariki.

Clement Kayishema aliyewahi kuwa Gavana wa mkoa Kibuye (magharibi mwa Rwanda) afariki akiwa gerezani nchini Mali.

Kayishema alikutwa na hatia ya mauaji ya kimbari ya Rwanda na kuhukumiwa kifungo cha maishagerezani na mahakama ya Arusha.

Kayishema alikuwa gavana wa Kibuye tangu mwaka wa 1992 hadi kutorokea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments