APR FC kujiandaa mechi dhidi ya Mukura Vs

APR FC imeongeza wachezaji wanne katika kikosi kitakachocheza dhidi ya Mukura Vs wikendi hii katika ligi kuu.

Hawa wachezaji wanne ambao ni Rugwiro Herve, Twizeyimana Onesme, Habyarimana Innocent na Imran Nshimiyimana waliongezwa katika kikosi baada ya mda mrefu wakiwa na majeraha yaliyosababisha wao kukosa mechi mbili za mwanzo.

Baada ya mechi mbili , Sunrise na Etincelles zinaongoza meza ya ligi na alama sita ; Rayon ni ya tatu, APR FC ya nne na alama nne. Sunrise FC ni ya pili baada ya kuichapa Kirehe Fc.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments