ACP Theos Badege ateuliwa kuwa msemaji wa Polisi.

Jeshi la Polisi la Rwanda limetangaza kupitia ukurasa wake wa Twitter kwamba ACP Theos Badege ameteuliwa kuwa msemaji wa polisi, pia msimazi wa mahusiano ya umma na vyombo vya habari (Commissioner for Public Relations and Media / Police Spokesperson).

Theos Badege amechukua nafasi ambayo imekua ikikaliwa na ACP Celestin Twahirwa aliyeteuliwa kuwa mkuu wa polisi ya jamii ‘’communiuty pilicing’’.

Hii si mara ya kwanza Badege kuwa msemaji wa Polisi kwani aliwahi kuwa msemaji wa polisi katika enzi za nyuma kabla ya kuwa mkuu wa idara ya ujasusi katika jeshi la polisi.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments