Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Rais Paul Kagame

Leo hii ya jumapili ni siku ya kuzaliwa kwa Mheshimiwa Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda tangu mwakani 2000.

Kagame alizaliwa tarehe 23 Oktoba, 1957 kijiji cha Nyarutovu kilichopo wilayani Tambwe mkoa wa Gitarama ya zamani na leo ni katika sehemu ya kusini mwa Rwanda.

Rais Kagame amefika umri wa miaka 59.

Viongozi mbalimbali wakiwemo Bernard Makuza,mwenyekiti wa seneti, wamejiunga na watu wengine kumpongeza rais Kagame.

Na sisi Makuruki.rw, Tunamtakia maisha marefu na yenye baraka tele.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments