Je, Tuitegemee collabo ya Sauti Sol na Meddy ?

1

Suti Sol na Meddy
Wakati walipokuwa katika tamasha nchini Rwanda mwezi jana, Kundi maarufu la wakenya ‘’Sauti sol’’ lilisema kwamba wao wanataka kufanya collabo na Mnyarwanda hususan Meddy ‘’muimbaji wa Ntawamusimbura’’anayefanyia kazi Marekani.

Sauti Sol walisema kwamba wanaota kufanya wimbo na Meddy kwani wanavutiwa na ujuzi wake wa miuziki.

Baada ya kufunguka hayo mjini Kigali, Sauti Sol waliposti picha wakiwa na Meddy mjini Dallas, Marekani katika tuza za AFRIMAMA ambapo Sauti Sol walipotwaa kombe la kundi la mwaka katika Afrika ya Mashariki.

Changia hii habari na wenzako.

Comments 1

Tumia Comments