Morocco yafungua ubalozi wake nchini Rwanda

Mjumbe wa waziri wa mambo ya nje nchini Morocco, Nasser Bourita, Mfalme wa Morocco, Rais Paul Kagame na waziri wa mambo ya nje wa Rwanda, Bi Louise Mushikiwabo
Ufalme wa Morocco wafungua ubalozi wake nchini Rwanda na Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano, pia msemaji wa serikali ya Rwanda Bi Louise Mushikiwabo alimbia mwanahabari wa Igihe kwamba Morocco imemeteua Balozi atakayeiwakilisha nchini Rwanda ingawa yeye bado hatoa barua ya stakabadhi kwa Rais Paul Kagame.

Mfalme Mohammed VI wa Morocco yuko ziarani nchini Rwanda ambapo waliposaini makubaliano 19 hususan ya kuimarisha ushirikiano, uwekezaji na utalii baina ya nchi mbili.

Mohammed baada ya kakamilisha ziara yake nchini Rwanda, yeye anaelekea katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na alafu Nchini Ethiopia.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments