Nduhungirehe ndiye balozi wa Rwanda nchini Luxembourg

Jana Jumatano, Balozi Nduhungirehe Olivier atoa barua ya stakabadhi kwa Mfalme Henri inayomruhusu kuwakilisha Rwanda nchini Luxembourg.

Nduhungirehe ambaye ni Balozi wa Rwanda nchini Ubelgiji ameongezwa majukumu ya kuiwakilisha Rwanda nchini Luxembourg katika sherehe iliyotokea nchini humo.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments