PICHA : Rais Kagame ampokea Mfalme wa Morocco.

Mfalme wa Morocco amefika Rwanda jana jumanne katika masaa ya jioni, uwanjani wa ndega Kanombe, yeye alipokelewa na Rais Paul Kagame.


Mohammed VI anaizuru Rwanda baada ya Rais Paul Kagame kumtembelea katika ufalme mwake ambako walizungumzia uimarishaji wa ushirikiano baina ya Rwanda na Morocco.

Mohammed VI wa Morocco anatarajia kuzuru nchi tatu za Afrika mashariki zikiwemo Tanzania na Kenya.


Mfalme Mohammed apokelewa na wacheza densi za miondoko ya Kinyarwanda

Habari nyingine yenye uhusiano na ziara ya Mfalme Mohammed VI wa Morocco nchini Rwanda
http://sw.makuruki.rw/spip.php?article3112

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments