Kina Music wajiondoa katika tuzo za Salax Music Awards

Kina Music
Wasanii wanaofanya muziki katika Rebel ya Kina Music ya Manishimwe Clement, mme wa Knoweless, wametangaza kujiondoa katika mashindano ya tuzo za muziki zijulikanazo kama Salax Music Awards.

Akiandika kwenye akaunti yake ya Instagram, Manishimwe Clement alisema kwamba wameamua kujiondoa katika mashindano kwa sababu zao binafsi.

Katika haya mashindano, Kina Music imekuwa ikiwakilishwa na Knowless, Kundi la Dream Boys na Clement mweneywe katika kipengele cha wazalishaji muziki wa mwaka.

Kina Music imetangaza kutoshiriki mashindano baada ya King James, Teta Diana, Christopher kutangaza kujiondoa katika mashindano.

Licha ya kuwa wasanii wanaojiondoa katika mashindano kisha wakasema ni sababu zao binafsi, tetesi zinasema kwamba wasanii hawafurahishwi na kupewa kombe tu, wao wanataka kombe na kiasi cha pesa.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments