Dkt Diane Gashumba ateuliwa kuwa waziri wa afya.

Rais Paul Kagame amemteua aliyekuwa waziri wa mipango ya familia na usawa wa kijinsia Dkt Diane Gashumba kuwa waziri wa Afya nchini Rwanda.

Dkt Gashumba amechukua nafsi iliyoachwa wazi na Dkt Agnes Binagwaho aliyetimuliwa mwezi Julai, mwakani huu.

Gashumba amekuwa akihudumu katika nyadhifa ya waziri wa MIGEPROF nafasi aliyekalia tangu mwezi machi,2016 baada ya Oda Gasinzigwa aliyekuwa waziri katika wizara hii kutumbuliwa.

Na MIGEPROF imechukuliwa Nyirasafari Esperance ambaye amekuwa mbunge.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments