Meddy awania tuzo za MTV Africa Awards2016

1

Muimbaji wa ntawamusimbura Ngabo Meddy Jobert anayeishi Marekani ametajwa kwenye orodha ya wagombea wa tuzo za MTV Africa Awards katika kipengele cha Listener’s choice.

Meddy atachuana na Kiss Daniel, muimbaji maarufu kutoka Nijeria,

Meddy ndiye msanii pekee atakayewakilisha Rwanda katika haya mashindano makubwa ya muziki barani Afrika.

LISTENER’S CHOICE

• Adiouza (Senegal)
• Bebe Cool (Uganda)
• Burna Boy (Nigeria)
• Den G (Liberia)
• EL (Ghana)
• Jah Prayzah (Zimbabwe)
• Jay Rox (Zambia)
• Kansoul (Kenya)
• Kiss Daniel (Nigeria)
• Lij Michael (Ethiopia)
• LXG (Sierra Leone)
• Meddy (Rwanda)
• Messias Marioca (Mozambique)
• Prince Kaybee (South Africa)
• Reda Taliani (Algeria)
• Saad Lamjarred (Morocco)
• Sabri Mosbah (Tunisia)
• Sidiki Diabate (Mali)
• Tamer Hosny (Egypt)
• The Dogg (Namibia)
• Yamoto Band (Tanzania)

Changia hii habari na wenzako.

Comments 1

Tumia Comments