Seneta Mucyo Jean De Dieu afariki

Seneta Jean De Dieu Mucya afariki asubuhi ya leo hii Jumatatu wakati alipokwenda kazini.

Makamu wa mwenyekiti wa Senati, Gakuba Jeanne D’Arc alithibitisha habari hii.
Gakuba aliambia Makuruki kwamba Mucyo aliaga dunia baada ya kufika kazini, yeye ameanguka chini wakati alipokuwa panda ngazi kwenda ofisini.

‘’ndio, Mheshimiwa Mucyo Jean De Dieu amekuwa kuja kazini kisha akakutwa na tatizo kisha akaunguka chini, tumemleta hospitalini King Faisal moja kwa moja, lakini wao hawakuweza kuokoa maisha yake.’’
Jean D’Arc amesema.

Makamu mwenyekiti wa seneti ameongeza kwamba mpaka sasa hawajajuwi sababu iliyosababisha kifo chake.

Mucyo amefariki akiwa na miaka 55 akiwa seneta katika bunge la Rwanda, yeye alizaliwa mwezi Decemba, 7, 1961, Wilayani Huye, Kusini mwa Rwanda.

Mucyo alikuwa msomi mweney stashahada ya masters katika masomo ya kujilinda na kupambana na kuwepo kwa mauaji ya kimbari.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments