Balozi Hejun aonyesha umuhimu ya safari za RwandaAir nchini Uchina

Balozi wa Uchina nchini Rwanda , Bw Pan Hejun alisema kuwa safari za RwandaAir mjini Guangzhou/Uchina zitaongeza hasa biashara baina ya Rwanda na uchina.

Balozi Hejun anayasema hayo baada ya shirika la RwandaAir kuizindua ndege mpya aina ya Airbus 330-200 ambayo hutarajiwa kuvamia anga ya afrika, Asia na ulaya.

Hejun anasema kwamba safari ya moja kwa mojamjini Guangzhou Uchina itapungua gharama ya kusafiri.

‘’kama vilivyokuwa zamani, watu walipita Hong-kong kabla ya kufika Guangzhou. Safari hizi za njia moja tu biala shaka zitawasaidia wafanyabiashara wa uchini na wa Rwanda kusafirisha bidhaa zao.’’

Na aliongeza kwamba njia ya Kigali-Guangzhou itapungua bei ya safari, fursa amabyo Hejun anasema itawavutia wawekezaji.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments