Rwamagana : Makahaba wanalalamikia kuitwa ‘’IBIRYABAREZI’’

Hivi karibuni michezo ya kamali inayotumia mashini itwayo ‘Slot Machines’ ilifungiwa. Michezi hii ilipata umaarufu juu ya jina la IBIRYABAREZI.

Baada ya michezo hii ya bahati nasibu kupigwa marufuku nchini kote, jina hilo lilibaki kutajwa kwa makahaba.

Haya mabinti anasema kwamba jina hili linatumika kwa kuwadharau,
mmoja wao alisema ‘’sielewi kwa nini wanatuita IBIRYABAREZI, sisi hatufurahishwi na jina hilo.’’

Wao wanasema kwamba kuwa wanajiuza kwa bei poa, hii haifai kuwa maana ya kuwaita IBIRYABAREZI.

Mkina mama mmpja alielezea Makuruki kwamba raia wa Rwamagana wanapenda kutaja jina hili kwa makahaba wanaojiuza kwa bei ya samaki na waliojifungua watoto.

Hata hivyo, makahaba haon wanasema hakuna chochote wanaweza kufanya ili kujiepusha jina hilo kwani wanajiuza kwa ajili ya kuogopa kufa na njaa.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments