Mnyarwanda aliyepigana vita ya pili ya Dunia afariki

Koplo Balthazar Nsabimana aliyepigana vita ya pili ya dunia afariki dunia akiwa miaka 83.

Huu Mkongwe alipoishi wilayani Gisagara, tarafa la Save, kijijini Shyanda alikuwa mpiganaji kwa upande wa waingireza baada ya kusafirishwa kwenda Misri akiwa na vijana wengine kupigana dhidi ya majeshi ya Adolph Hitler.

Nsabimana (mbabe wa vita) alipigana vita ya pili ya dunia baada ya kuingizwa katika majeshi ya waingereza katika mwaka wa 1944, askari polisi wakati wa uongozi wa kifalme na mwanajeshi kwenye uongozi wa Juvenal Habyarimana.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments