Waziri wa utawala wa mitaa nchini Sierra Leone kaja Rwanda kwa kijifunza utawala shiriki.

Maya Moiwo Kai Kai, Waziri wa utawala wa mitaa nchini Sierra Leone pamoja na wajumbe anayeongoza wako katika ziara ya siku 7 nchini Rwanda ambako walikuja kujifunza utaratibu wa kuweka madaraka karibu na raia.

Hii jumatatu, Siku ya mbili wakiwa ziarani, hawa wajumbe wameitembelea wizara ya utawala wa mitaa nchini Rwanda (MINALOC) ambapo walielezewa uzoefu wa Rwanda katika kipindi cha miaka 15 tangu mfumo wa utawala shiriki kuanzishwa.

Waziri Moiwo Kai Kai yuko nchini Rwanda baada ya wiki moja mwezi wa utawala ukianzishwa. Katika mwezi wa utawala , viongozi wanawasogea raia ili kutatua matatizo wanayokumbana nayo na kujadili mipango ya maendeleo.

Mada ya mwezi wa utawala ulioanzishwa Septemba, 14, 2016 ni ‘’utawala wenye msingi kwa raia, egemeo la mandeleo endelevu.’’

Maya Moiwo akiwa na mwenzake Francis Kaboneka wa Rwanda

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments