Latifah ateuliwa kuwa katibu wa FERWAFA

Bi. Latifah Uwamahoro
Katika mkutano mpya wa shirikisho la kandanda nchini Rwanda uliokuwa kufanyika Wilayani Musanze, kasikazini mwa Rwanda, Bi Latifah Uwamahoro ameteuliwa kuwa katibu wa FERWAFA.

Latifah amechukua nafasi ya Me. Mulindahabi Olivier ambaye alikamatwa na kuhukumiwa kifunga cha miezi 6 jela baada ya kukutwa na hatia ya rushwa.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments