Sauti Sol Kutumbuiza mjini Kigali

Sauti Sol katika mkutano na wandishi wa habari
Kundi la Sauti Sol kutoka Nchini Kenya wako nchini Rwanda kwa ajili ya tamasha lenye nguvu ambalo linatarajiwa kufanyika mjini Kigali katika kiwanja cha maaonyesho Gikondo Expo Graound.

Katika hili tamasha, Sauti Sol watawakuwa pamoja na Three Hills, Neptunez band, Yvan Buravan.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments