Rwanda inataka mkataba wa MONTREAL kufanyiwa marekebisho kwa kuilinda Ozoni

Dkt Vincent Biruta, waziri wa maliasili
Rwanda inasema kwamba inashabaha kuyahimiza mataifa yaliotia saini kwenye mkataba wa Montreal kukubali haya mapatano kufanyiwa marekebisho, kwani wakati wowote haya mapatano hakufanyiwa marekebisho, dunia inaweza kuangukiwa na jangwa la saratani ya nguo na ongezeko hatari la joto dunuiani.

Itifaki ya Montreal ni makubaliano ya kimataifa ya kulinda Ozoni na kupaaza sauti ya kupiga marufuku vifaa kama majokofu, viyoyozi,.. vinavyotumia gesi chafu ya Hydrofluorocarbons (HFCs) ambayo ni chanzo ncha uharibifu wa Ozoni.

Iwapo hili ombi kupitishwa, joto la dunia litapungua hadi 0.5 ya joto la dunia mpaka mwishoni wa karne, kama taarifa iliyotolewa na Wizara ya maliasili inavyosema.

‘’ Tunakaribisha pande zote husika na makubaliano ya Montreal. Sisi tutafurahishwa na kuyaona mataifa akiunga mkono hili ombi la kufanyia marekebisho kabambe haya makubaliano katika mkutano utakaofanyika mjini Kigali.’’ Waziri Dkt Vincent Biruta amesema.

Huu mkutano ambao unatajiwa kuanza mwezi Septemba, 6-14,2016, na utavutia watalaam wa maswala ya anga zaidi ya 1,000 kutoka kila kona duniani.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments