Raia wanapoishi karibu na vituo vya migodi kunufaika 10% ya mapato

Evode Imena
Hili ni azimio ambalo lilitolewa na kikao maalum cha mawaziri kilichofanyika jana katika ikulu. Azimio hilo lilitangazwa rasmi baada ya kuombwa na Rais Paul Kagame mwaka wa 2005.

Katika mkutano na wandishi wa habari, Evode Imena, katibu wa serikali ambaye ni mjibika wa uchimbaji migodi katika wizara ya ardhi na maliasili, amesema kwamba hili pendekezo litaanza kutekelezwa mwaka ujao.

Yeye amesema kuwa hii asilimia 10 ya mapato ya migodi yatatumwa kwa raia wanapoishi karibu na vituo vya migodi kupitia taasisi ya serikali inayosimamaa maendeleao ya uongozi wa msingi (RODA) ili kuboresha ustawi wa raia.

‘’ Mwaka jana tulinufaika Rwf 3 bilioni, kwa hivyo mnasikia kiasi cha asilimia 10.’’ Imena amesema.

Yeye amebaini kwamba hii asilimia 10 haendi kugawanywa kila tarafa kwa bure, hizi pesa zitatumiwa kutokna na mradi kabambe ambayo utakuwa lengo kuboresha maisha ya wananchi.

Zaidi, ni kwamba hiki kiasi kinaweza kupungua au kuongezeka kutokana na bei ya migodi kwenye soko.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments