Mechi ya Kufa na kupona kati ya APR FC na Rayon Sport

Musa Camara, silaha nzito ya Rayon
Timu ya kijeshi APR FC inachuana na Rayon Sports katika mechi za pre-season zilizoandaliwa na AS Kigali baada ya kutupa nje hii timu mwandalizi kwa mabao 3-2 wakati Rayon ilicharazwa na SC Kiyovu mabao 1-2.

Baada ya hizi mechi za makundi kumalizika, AS Vital Club ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo itachuana na SC Kiyovu.

APR ya kwanza katika kundi A itacheza dhidi ya Rayon Sport ya pili katika kundi B. Kama vinavyokuwa katika michezo ya ligi na hivi sasa tanatarajia kutazama mvutano mkali kati ya APR FC na Rayon. Kumbuka kwamba wali, Rayon Sport iliichapa APR FC michezo miwili mfululizo.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments