Claude Nikobisanzwe achukua wadhifa katika Wizara ya mambo ya nje.

Rais Paul Kagame amemteua Nikobisanzwe kuwa katibu kudumu wa wizara ya mashauri ya kigeni
Baraza la mawaziri limemteua Nikobisanzwe Claude kama katibu kudumu wa wizara ya mashauri ya kigeni ambapo alichukua nafasi ya Jeanine Kambanda aliyehudumu zaidi ya miaka miwili ofisini.

Nikobisanzwe Claude alikuwa katibu wa kwanza katika ubalozi wa Rwanda nchini Afrika kusini.

Huu uamuzi ulichukuliwa katika kikao cha mawaziri kilichofanyika jana, mwezi Septemba, 13, 2016 kikiongozwa na Rais Paul Kagame.

Claude Nikobisanzwe

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments