Wakuu wa dini barani Afrika kuinjilisha kupitia vyombo vya habari.

Jean Sibomana
Viongozi wakuu wa dini na mameneja wa redio kutoka makanisa mbalimbali barani Afrika wamekutana kwa ajili ya kutafuta namna halisi ya kuweka mfumo mpya wa kuinjilisha.

Katika mkutano mkuu wa Africa bya Radio Continental Convention 2016 unaofanyika mijini Kigali, hawa viongozi wanasema kwamba wanakwenda kutumia vyomba vya habari (redio, runinga, tovuti, na mitandao ya kjamii ) kama njia mwafaka ya kuwafikisha waamini wao.

‘’Mara nyingi wakristo wanakusanyika katika makanisa lakini ni vizuri na hao ambao hawakuweza kuja kanisani kufuata injili kwenye redio zao.’
’ Mchungaji Sibomana amesema.

Lengo la mkutano ni kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari na kujifunza njia ya kutumia vyombo vya habari kwa kusambaza injili kwa watu wengi kama Mchungaji na mwakilishi wa kisheria wa dini ya ADEPR alivyosema.

Mkutano huo uliandaliwa na mashirika ya redio za kikristo chini mwa jangwa la Sahara.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments