Colette Ruhamya ameshika nyadhifa ya Dkt Mukankomeje

Colette Ruhamya
Aliyekuwa naibu kiongozi wa mamlaka ya mazingira REMA Colette Ruhamya ametuliwa kuwa mkurugenzi wa REMA.

Kama Taarifa iliyotolewa na kikao cha mawaziri kilichofanyika mwezi Septemba,13,2016 katika ikulu kikiongozwa na Rais Paul Kagame inavyosema, Bi Ruhamya amejaa nafasi iliyoachwa wazi na Dkt Rose Mukankomeje ambaye yuko matatani baada ya kuhusishwa katika kesi ya kuvunja siri ya kazi.

Colette aliteuliwa kuwa naibu kiongozi mkuu wa REMA na Rais Paul Kagame katika kikao cha mawaziri kilichofanyika mwezi Juni, 2012 baada ya kuwa katibu wa serikali mjibika wa maji na nishati.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments