Viongozi kusaini ‘IMIHIGO’ leo

Viongozi kwenye wadhifa mabalimabli wanasaini kandarasi mbele ya Rais na kuonyesha jinsi walivyotimiza viapo vya mwaka jana, kwa mujibu wa Joseph Mutware,mkuu wa seriali kitengo cha uratibu katika ofisi ya waziri mkuu.

IMIHIGO husainiwa kila mwaka baada ya kuanzishwa mwaka 2006 kwa lengo la kuongeza kasi ya ustawi wa jamii na mipango ya serikali.

Katika IMIHIGO viongozi wanaapa kutekeleza miradi inayowawezesha kuwa na raia maendeleo endelevu,nishati,maji safi, kuongeza fursa za kazi,na kadhalika.

Mwaka jana, Wilaya ya Huye iliyoko kusini mwa Rwanda ilishika nafasi ya kwanza kwa kutimiza viapo na alama 83% kuliko wengine na wilaya ya Gakenke kushika mkia.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments