Rais Paul KAGAME yuko nchini Tanzania

Rais Paul Kagame amaefika Tanzania leo asubuhi kwa kujumuika pamoja na viongozi wa kanda hii ya Afrika Mashariki katika mkutano unaoandaliwa na EAC.

Kagame amekuwa nchini Kenya katika mkutano kuhusu Kilimo na katika huu mkutano wa EAC ambao Kagame anatarajia kuhudhuria, hali tete ya usalama nchini Sudan kusini huenda ikawa kwenye ukurasa wa kwanza wa mazungumzo.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments