Mfanyakazi wa kituo cha afya auawa kwa kupigwa risasi, Nyange

Aliyekuwa mfanyakazi wa kituo cha afya cya Nyange, katika tarafa la Mugesera, Wilayani Ngoma, mashariki mwa Rwanda, Christian Maniriho afariki kwa kupigwa risasi kifuani na mtu asiyejulikana mpaka sasa.

Jean de Dieu Habumugisha, katibu mtendaji wa tarafa la Mugesera, aliambia UMUSEKE.rw kwamba Christian aliyefyatuliwa risasi amekuwa mfanyakazi katika maabara ya kituo cha afya.

Huu mfanyakazi amepigwa risasi, saa tatu za usiku na muuaji bado anasakwa.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments