Gabon : Ali Bongo atangazwa Rais halali

Ali Bongo Ondimba amekuja wa kwanza na wapiga kura 49,8 % na mpinzani wake Jean Ping wea pili na wapiga kura asilimia 48,23 kama tume ya uchaguzi nchini humo ilivyotangaza.

CNEAP imemtangaza Bongo kama Rais aliyechaguliwa na wananchi wakati JeAn Ping amekuwa ajitangaza mshindi kabla ya haya matokeo kutangazwa.

Hata hivyo Jean Ping na wakereketwa wake wanaomba uchaguzi kufanywa tena, hawa wanalalamika kuwa matokeo sio ya ukweli.

Ali Bongo Ondimba mwenye umri wa miaka 57 yuko madarakani tangu mwaka wa 2009 baada ya Babake Omar Bongo kuaga dunia.
Omar Bongo aliongoza Gabon katika kipindi cha miaka 41.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments