Katibu mtendaji wa Wilaya ya Nyarugenge ajiuzulu

Ezra Kagiha Mutwara
Aliyekuwa katibu mtendaji wa Wilaya ya Nyarugenge iliyoko mjini Kigali Bw Ezra Kahiga Mutwara amejiuzulu.

Akiongea na Makuruki, Mutwara amekubali kuwa amejiuzulu siku ya ijumaa iliyopita.

‘’ndio, ni ukweli, nimejiuzulu kwa sababu zangu binafsi, hakuna aliyenitaka kujiuzulu, nilituma barua ya kujiuzulu jana lakini badi hajanijua jibu.’’ Mutwara amethibitisha.

Yeye alibaini kuwa ameacha nafasi yake kwa uwekezaji. Mutwara amekuwa katibu mtendaji wa wilaya tangu mwezi Februari.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments