Balozi wa umoja wa Ulaya ayalaumu mataifa ya Tanzania na Burundi

1

Katika mkutano na wanahabari, Balozi wa umoja wa Ulaya nchini Rwanda Michael Ryan ayalaumu mataifa ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Burundi kwa kutokubali kusaini makubalianao ya muungano huo na mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Ryan ameeleza kuwa Burundi na Tanzania walikataa kusaini makubaliano ya EU wakisema kwamba wao wana hofu ya kuwa uchumi wa EU unaweza kutetereka baada ya Uingereza kujitoa katika muungano.[ sababu ambayo Ryan anasema hana uzito.]

Na alipongeza Rwanda na Kenya kwa kuonesha hamu ya kusaini hayo makubaliano.

Huu mkataba kati ya umoja wa Ulaya na EAC (Economic Partnership Agreemnt) yalifikiwa mwaka wa 2007 lakini TZ na Burundi hawajakubali kuweka saini kwenye makubaliano.

Changia hii habari na wenzako.

Comments 1

Tumia Comments