Rais Patrice Talon amewasili Rwanda

Rais Patrice Talon wa Jamhuri ya Benin amefika uwanjani wa ndege Kanombe ambapo alipokekelewa na mwezake wa Rwanda Paul Kagame.

Talon yuko Rwanda katika ziara ya siku tatu ambako yeye anatarajia kutembelea maeneo ya viwanda Special Economic na Mamalaka ya Maendeleo RDB

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments