Rais wa Benin anasubiriwa Rwanda.

Patrice Talon, Rais wa Benini aliyechaguliwa Urais tarehe 6, Aprili,2016 anatembelea Rwanda kesho tarehe 29, Agosti, 2016 katika ziara ya siku tatu.

Patrice Talon aka mfalme wa Pamba(kutokana na nguvu alizotumia kwa kukuza viwanda vinavyotengeneza pamba) anatarajia kuzuru Special Economic Zone na Mamlaka ya Maendeleo RDB.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments