Rais Kagame ahudhuria mkutano wa kibiashara nchini Kenya

Rais Kagame alifanyia ziara ya kikazi nchi Kenya katika mkutano wa kibiashara kati ya Afrika na Japan (Tokyo International Conference on African Development).

Mkutano huo maarufu kama TICAD unaofanyika kwa mara ya kwanza barani Afrika utadumu kwa siku mbili tarehe 27 hadi 28 Agosti 2016.

Katika uwanja wa ndege nchi Kenya jijini Nairobi maarufu kama Jomo Kenyatta jana tarehe 26 Agosti ndipo rais Kagame alikaribishwa na viongozi mbalimbali ikiwemo balozi wa Rwanda nchini Kenya James Kimonyo.

Nchi ya Japan husaidia Rwanda kupitia shirika la Japan International Cooperation Agency (JICA) ili kuendeleza na kutetea nchi katika ngazi tofauti.

Shirika la kimataifa la kuendeleza bara la Afrika (TICAD) limeanzishwa rasmi 1993 na serikali ya Japan kwa lengo la kuongea kuhusu siasa baadhi ya viongozi wa Afrika na washiriki katika maendeleo ya kudumu.

Shirika la JICA limeshiriki katika mipango tofauti ikiwemo miundo mbinu, kuendeleza sekta ya kilimo, maji safi, usafi na kutetea teknolojia. Serikali ya Rwanda imopokea msaada wa Japan milioni 223 za dola kupitia JICA.

Wanafunzi milioni mbili laki mia sita kutoka bara la Afrika wamepata walifundishwa, milioni 240 waliona huduma za afya na idadi ya watu wiloni nne laki mia sita waliona maji safi kwa ajili ya maamuzi yaliyochukuliwa katika mkutano wa kwanza wa TICAD.Martin Hubert IKURAMUTSE

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments