Rwanda ni ya kwanza kuweka utaratibu wa kupambana na VVU

Utafiti uliofantawa na kundi la Rwanda/Zambia research Group unaonesha kuwa Rwanda inashika nafasi ya kwanza barani Afrika kwa kuwahamasisha wanandoa kupimwa maambukizi ya HIV.

Huu utafiti unasema kwamba Rwanda ni nchi ya kwanza inayotekeleza vyema utaratibu wa kuotoa mashauri na kuhamasisha wafunga ndoa kupimwa maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) na kwa hivyo Rwanda ilifanikiwa na kupungua kwa asilimia 70 ya idadi ya maambukizi mapya kama medicalexpress.com ilivyoandika.

Utaratibu ujulikanao kama CVCT ambao unasaidia wanandoa kushiriki ujuzi wa kijilinda maabukizi na kusaidiana bwega kwa bega wakati mmoja au wote wa familia wameambukizwa VVU.

CVCT pia kuhusishwa na kuongezeka kwa hatua kupunguza maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto na hatari ya chini ya maambukizi ya VVU kwa watoto wachanga waliozaliwa na akinamama wenye VVU.

Shirika la Afya Duniani (WHO) linapendekeza CVCT kama kuingilia kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya VVU. Takriban asilimia 70 sawa na idadi ya watu wazima na watoto wapatao milioni 35.3 wanaishi na VVU duniani kote, hawa wote wanaisho kusini mwa jangwa la Sahara, ambapo asimilia kubwa ni maambukizi yanayopitia ngono zembe.

“Watu wakuu hawajui juu ya hali yao wenyewe kuhusu Virus Vya UKIMWI au ile ya ngono zao, na katika kesi nyingi watu wazima hawajui kwamba inawezekana kuwa na mpenzi kwa muda mrefu na hali tofauti ya HIV”. Anasema mwandishi Etienne Karita na mkurugenzi wa Mradi wa San Francisco.

’Kupitia utafiti, ushirikiano kati ya mashirika ya kimataifa, serikali, na wasomi, na licha ya changamoto za vita na umaskini, muungano wetu uliweza kuendelea kutekeleza CVCT, hivyo kuzuia VVU, kuokoa maisha, na kubadilisha mazoezi ya afya ya umma nchini Rwanda. Sasa ni lazima tuchukue hatua zinazohitajika ili kupanua mafanikio haya katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara,’ Anasema Susan Allen, profesa wa Chuo Kikuu cha Emory na mkuu wa Rwanda Zambia HIV Research Group.

Ingawa tangu mwaka 2013 Shirika la Afya Duniani limependekeza kutibu watu wote wenye VVU ili kuzuia maambukizi ya washirika, pendekezo hili haliwezi kuwa na mafanikio, ni ufanisi kukuzwa na kukubaliwa katika programu za kuzuia VVU, pamoja na fedha za kutosha, Lakini hata katika inaweza kuwa na athari kubwa kwa gharama nafuu.

Martin Hubert IKURAMUTSE

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments