RIO DE JANEIRO2016 : Mwogeleaji wa Rwanda ashika mkia

Imaniraguha Elio aliyewakilisha Rwanda katika mashindano ya kuogelea mita 50 ‘’free style kule Rio de Janeiro nchini Brazil amechukua nafasi ya nyuma.

Imaniraguha ameshika nafasi ya wa 43 akitumia dakika 26.

Imaniraguha na Umurungi Joanna wanawakilisha Rwanda katika hii michezo ya olompiki kwa mwaliko.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments