PICHA : Kabila afika salama

Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo Joseph Kabila akifika Rwanda amepokelewa na waziri wa mashauri ya kigeni na ushirikiano Louise Mushikiwabo.


Kabila na Kagame wakisalimiana

Kabila na Kagame wanakutana baada ya miaka 7 ambapo Kagame alimtembelea Kabila mjini Goma mwaka wa 2009

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments