Sauti Sol mjini Kigali katika tamasha ya kihistoria.

Waimbaji mashuhuri katika ukanda wa Afrika mashariki na hata barani Afrika Sauti Sol wa Kenya wanasubiriwa mjini Kigali baada ya tamasha la kihistoria ambalo watafanyia nchini Uganda ndani ya Club Mega Fest mjini Kampala jumamosi hii, tarehe 13, Agosti,2013.

Na baada ya kuwapiga ngoma Waganda, Sauti Sol wataeleka Rwanda katika tamasha itayofanyika ndani ya ukumbi wa Camp Kigali, tarehe 20, Agosti, 2016.

Bien-Aimé Baraza , Delvin Mudigi, Polycarp Otieno na Willis Austin Chimano ambao ni wanachama wa kundi hilo wanatangaza kwamba wao wanalenga kuzunguka ukanda wa mashariki kwa ajili ya kutangazia frasmi washabiki album yao ‘’Live and die in Africa’’.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments