Benki SACCO kupitisha teknolojia kwa ajili ya kufanya kazi pamoja

Vyama vya ushiriki vilivyopata umaarufu kwenye jina la Umurenge Sacco huenda kuhusianishwa kiteknolojia kufikapo mwezi Juni, 2017 ili kuweza kutumiana pesa kati yao.

Kwa ushirikiano na taasisi inayosimamia vyama vya ushiriki RCA na Wizara ya biashara na viwanda, wao wanaenda kuanzisha benki mpya ambAyo itaunganisha IMIRENGE SACCO kwa ajili ya kurahisisha kuzifanyia ukaguzi.

Uamuzi huo umepitishwa baada ya benki hizo kudaiwa matumizi mabaya yaw a pesa za wateja.

Waziri wa biashara na viwanda Bw Francois Kanimba amesema kwamba Imirenge Sacco wanaenda kujumuika katika benki moja iitwayo ‘’Cooperat Bank’’ ili kuimarisha uchumi wa Sacco na usalama wa pesa za wateja.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments