Ajali ya moto yachoma jengo la aliyekuwa Rais wa Rwanda

Upande wa nyumba iliyoko Kacyiru mjini Kigali karibu na KBC na ubalozi wa Uholanzi imewaka moto leo katika saa za asubuhi.

Jengo la Pasteur Bizimungu liliteketezwa na moto kwa upande wa ghala ya shirika la kimataifa IFDC.

Lakini Polisi alipofika huko kabla ya jengo lote kuwaka moto, Ajali hii inasemakana kusababishwa na hitilafu ya umeme.

Pasteur Bizimungu alikuwa Rais wa zamani wa Rwanda tangu mwaka wa 1994 - 2000.


Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments