Dkt Charles Murigande arudi uwanjani wa elimu.

Charles Murigande arudi katika uwanja wa elimu, Murigande ameteuliwa na kikao cha mawaziri kuwa naibu makamu mkuu wa chuo kikuu cha Rwanda.

Balozi Murigande alikuwa wziri wa mashauri ya kigeni na ushirikiano katika mwaka wa 2002-2008, waziri wa elimu tangu 2009-2011, na amekuwa balozi wa Rwanda nchini Japan tangu mwaka wa 2011.

Katika chuo kikuu cha Rwanda, Murigande atakuwa msimazi wa kuimarisha ushirikiano kati ya UR na vyuo vingine , kukagua utekelezaji wa mfuko wa UR na kuweka utaratibu wa ushirikiano kati ya Chuo kikuu cha Rwanda na wafanyabiashara kibinafsi.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments