Mwanafilamu Mbamba Olivier afariki dunia

Mwuigizaji wa filamu za Kinyarwanda Mbamba Olivier ambaye alijulikana akiigiza katika filamu Rwasibo ameaga dunia kwa ugonjwa wa kisukari katika usiku wa tarehe 07, Agosti, 2016.

Mwanafilamu huyo alipata umaarufu wake katika filamu kama Rwasibo, Nkubito ya nyamunsi na kadhalika.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments