PICHA : Hatimaye, Knolwess aolewa kidini

Baada ya tetesi nyingi zilizosambaa zisemazo kuwa dini la kidivantisti lilisema kwamba Knowless na Clement hataruhusiwa kuvuta jiko kidini kwa sababu ya kuwa Knowless alipata mimba kabla ya kuolewa, kitu ambacho ni mwiko katika dini hilo.

Lakini jumapili iliopita mwanamziki huyo alifunga ndoa na mtengenezaji mziki wake baada ya miaka mingi wakihudumiana kimapenzi.

Hii ndoa ya hawa mastaa ilifanyika mashariki mwa Rwanda, wilayani Bugesera ambako walihudumiwa kidini na mchungaji binafsi anayeitwa Rusine katika Golden Tulip Hotel iliopo Bugesera/Nyamata.

Hii ndoa ilihudhuriwa na wasanii wengi wakiwemo Senderi International Hit, Danny vumbi, Lil G na wengine.

Knowless ndiye muimbaji wa nyimbo kama tulia na teamo ambapo alimshirikisha Roberto wa Zambia.Msanii Danny Vumbi na mkewe

Lil G na Rutamu Elie Joe mwanahabari mashuhuri wa Radio one Rwamda

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments