#FESPAD 2016 : Mkongo afanya maajabu

Jumatano, tarehe 03, Agosti, 2016 maonyesho ya utamaduni wa kiafrika kufanyika wilayani za Kayonza na Rusizi ambapo wawakilishi wa nchi za Afrika walionyesha uzuri wa utamaduni wao lakini jambo ambalo kushangaza watu ni Mkongo aliyejikatakata na kisu kwa mdomo na shavu lakini yeye hakuwa wala kujeruhiwa wala kutokwa damu.

Baadhi ya raia wa Kayonza walioshuhudia maonyesho walishangaa sana maajabu ya huyo Mkongo kwani wao walikuwa kufikiria kuwa hilo ni jambo lisilowezekana.

Kujichoma kisu inawezekana kuwa ni jambo rahisi kwa wakongo kwani siku zilizopita, Mkongo alipatikana Wilayani Rusizi, magharibi mwa Rwanda akichoma sindano pasipo kujisikia chungu.

Licha ya maajabu ya Mkongo, ng’ombe za aina Inyambo za Rwanda na mziki wa wamisri ni mojawapo wa utamaduni ulioonyeshwa.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments