Ndoa ya knowless yazua Gumzo

1

Mwanamziki wa kike mashuhuri nchini Rwawnda Butera Jeanne d’arc aka Knowless amevuta jiko kisheria na meneja wake na mzalishaji wa nyimbo ambaye walihudumiana kimpenzi tangu zamani jumapili iliyopita.

Lakini mpaka sasa halusi ya msanii huyo na meneja wake Manishimwe Clement bado inaendelea kuzungumzwa mitandaoni na katika mabaa mbalimbali, kwani wao wanajiuliza ni nini kilichomfanya staa huyo kuwazuia kuhudhuria ndao yake. Na ndoa hii ilikuwa nsifa nyingi sana za kujadiliana.

1)Ombi la kufunga ndoa katika kanisa ya kidivantisti kukataliwa

Mchungaji kongwe Ezra Mpyisi alitangazia magazeti kwamba yeye alitupilia mbali ombi la kufunga ndao kikanisa kwani Knowless amepata mimba kabla ya kuolewa kidini na kisheria.

2)Knowleess amerushwa vijembe na mashabiki wake

Wakati alipokuwa kupungia mkono upweke kisheria katika tarafa la Remera, mashabiki wake walitaka kuingia ndani ya ofisi lakini mabaunsa wa Knowless na Clemnt waliwapiga vikali watu waliojaribu kuingia na sasa wao si kitu cha kukubaliwa kwani wao walisema kwamba hawajiski walishuhudia ndoa nyingi za mastaa wakiwemo Tom Close lakini yeye hakuwatesa.

Ndoa ya kidini inatarajiwa kufanyika Agosti,07,2016 katika kinisa ya kidivantisti kule Nyamata ingawaje Mchungaji Mpyisi alisistiza kutowahudumu.

Changia hii habari na wenzako.

Comments 1

Tumia Comments