Al shabab washambulia makao ya polisi Mogadishu

Ripoti zinasema kuwa kumetokea shambulizi katika makao makuu ya polisi kwenye mji mkuu wa Somalia Mogadishu.

Ripoti moja ilisema kwa mshambuliaji wa kujitolea mhanga, alivurumisha gari lake kwenda kwa milango ya jengo la idara ya ujasusi mjini humo.

Kisha wapiganaji wanaripotiwa kuvamia baadaye. Kundi la wanamgambo la al-shabab linadai kuwa ndilo lilitekeleza shambulizi hilo.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments