Rayon Sports yamsajili beki wa APR FC

Rwatubyaye Abdul
Baada ya tetesi zilikuwa kusema kuwa beki wa APR FC Rwatubyaye Abdul anaenda kusajiliwa na timu ya ulaya kuzima, hivi sasa uongozi wa Rayon Sports umeshatangaza kumsajili mchezaji huyo.

Olivier Gakwaya ambaye ni katibu wa Rayon Sports ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba dili ya Abdul ni done deal. na Abdul amevishwa namba 15 mgongoni.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments