Wawili wateketezwa katika ajali ya gari

Jana jumanne saa moja za jioni gari yenye aina ya Daihatsu iligongana na matatu (Hiace) wilayani Rubavu, magharibi mwa Rwanda. Dereva na makamu wake wa daihatsu waliteketezwa baada ya magari kuwaka moto.

Msemaji wa Polisi mkoani humo CIP Emmanuel Kabanda alithibitisha habari hii na alisema kwamba licha ya gari mbili kugongana uchunguzi bado unaendelea ili kujua sababu sahihi iliyosababisha magari kugongana.

Abiria 18 walioko katika mini basi hakuna mtu aliyejeruhiwa ingawaje gari kuteketezwa

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments