TVET kupewa nguvu na serikali ya Uswisi.

Katika uzinduzi wa awamu ya pili, Serikali ya Uswisi imetoa msaada ambayo thamani milioni 7.5 dola za kimarekani kwa ajili ya kusindikiza elimu ya ufundi TVET. Haya ni makubaliano ya kifedha aliyosainiwa kati ya balozi wa Uswisi na wizara ta elimu Rwanda mjini Kigali jana jumatano.

Huu ni mardi wa miaka 12 ambayo unatrajia kuongeza ajira kupitia uumbaji wenyewe wa kazi bila kutegemea kuajiliwa.

Kwenye kalenda ya matumizi ya mfuko huyo unatarajiwa kutum ia kwa kuimarisha mafunzo ya walimu na wanafunzi, kuendeleza uwezo wa taasisi na vituo vya mafunzo ya umma na binafsi.

Awamu ya miaka mitatu ya kwanza ya mpango huyo ambayo kumalizika mwakani wa 2015 imetumia pesa thamani 9.5 dola za kimarekani. pesa zilitumiwa kujenga vituo vitano vya kutoa masomo ya ufundi Wilayani Nyabihu, Ngororero, Rusizi na Nyamasheke magharibi mwa Rwanda.

Katika awamu ya kwanza wasichana na wavualana 2,749 walijufunza hizi kozi. Na katika awamu mpya watelezaji wa mpango huyo wanatarajia kuwezesha kitua cha kufundisha hayo masomo kilichoko Nyabihu.

Wakati wa kusaini makubaliano, Dk Papias Musafiri ambaye ni waziri wa elimu alisema kwamba alijivunia huyu msaada, alisema kwamba hii ni njia sahihi ya kufikisha nchi katika nchi zinazo uchumi wa kati miakani ya 2020.

‘’huu ni mradi muhimu sana kwetu, huu utaunga mkono dhamira ya Rwanda la kuwa kipato cha kati kufikapoa mwaka wa 2020. Lengo letu ni kujengea uwezo jamii ya Kinyarwanda na nafikiria tutafanya.’’
Waziri Papias alisema.

Musafiri alibaini Rwanda inalenga kuhakikisha kuwa angalau asilimia 50 ya wanafunzi wanaohitimu kozi za sekonadari wamejifunza kozi za ufundi ili wawe na uwezo wa kujiajiri.

Kwa baina yake, Ralf Heckner ambaye balozi wa Uswisi nchini Rwanda alisema kuwa anatumai watatimiza lengo la huu mradi.

‘’nadhani kupitia mradi huu Rwanda ina msimamo halali kama kitovu cha masomo ya ufundi yakiwemo masomo ya ujenzi, umeme na kadhaa.’’

‘’ na itasaidia Rwanda kubadili maisha ya vijana kiuchumi ambao ni idadi kubwa ya jamii ya Rwanda’’ Balozi wa Uswisi alisema.

Wote waziri Musafiri na Balozi Heckner walijivunia ushirikiano, walisema kwamba wao wanatumai wanyarwanda wanatunufaka na watajifunza mengi.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments