Skype kuepuka uongo husema wanyarwanda wanaojitenga FDRL wanauawa baada ya kuwasili Rwanda.

Wanyarwanda waliowasili Rwanda kutoka uhamishoni nchini DRC wakiwasiliana ana kwa ana na jamaa zao zilizopo kongo kupitia skype.
Ni muda mrefu tangu watu wanaowasili Rwanda kutoka uhamishoni nchini DRC, kusema kwamba wanazuiwa kurudi na fununu za kuwa mtu yeyote anayewasili Rwanda huawa.

Hii ndio sababu, taasisi ya kustaafu watu ambao walikuwa wapiganaji wa kundi la kigaidi FDRL kusema kwamba imechukua uamuzi wa kutumia mtandao wa Skype kama njia ya kuepuka uongo huyo.

Taasisi hii inasema kwamba Skype husaidia kuwasiliana ana kwa ana kati ya watu waliopo Rwanda na familia zao zilizobaki misituni ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo ili kuhakikisha kwamba hivyo ambavyo wanaambiwa ni uongo.

Soldat Mukawihoreye Leticia aliyepita Mutobo katika awamu ya 57 kabla ya kujiunga na jamii ya wanyrwanda na baada ya kutengana na kundi hilo FDRL, Bibi huyo alimbia gazeti la izubarirashe kwamba wao walicheleweshwa kurudi na fununu ambazo kusema kwamba watauawa baada ya kufika Rwanda. Na hii ndio sababu ya kawaida iliyowafanya yeyey na wenzake kubaki katika misituni ya Kongo takriban miaka 22.

Taasisi hii iliyoko Mutobo inasema kwamba wao wanaungana mkono na walinda amani wa umoja wa mataifa MONUSCO ambako walinda amani wanaletea wakimbizi kompyuta ili waweze kuwasiliana na rafiki zao.

Taasisi hii ya RDRC inajivunia kuwa imeambiwa baada ya miezi mitatu kuanza kutumia mtandao wa Skype, wakimbizi wnyarwanda walianza kubadili uelewa ukilinganisha na siku za nyuma.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments