Waziri mkuu amezindua mfumo wa kumwagilia Wilayani Gatsibo.

Waziri mkuu Bw. Anastase Murekezi amerasimisha mfumo wa kumwagilia katika kinamasi wilayani Gatsibo, mashariki mwa Rwanda.

Hii miundombinu itasaidia kumwagilia mashamba katika kinamasi ya Rwangingo na Karangazi. Serikali imeripoti kuwa ilitumia bilino 8 na milioni 593 kwa kujenga kituo hicho cha umwagiliaji.

Rwangingo-Karangazi ni kinamasi ya hekta 900 na inatarajiwa kuwa linajumuisha hekta 320 za mashamba ya mchele, hekta mengine atatumika kwa ajili ya kilimo kingine.

Baada ya kuzindua mfumo huyo, alielekea Nyakagezi ambapo alizindua mradi kama huo ambayo unatarajiwa kumwagilia hekta 45 za mashamba ambayo iko katika nyanda kanda na huu pia ni mradi ambayo uligharamia milioni 672 pesa za Kinyarwanda.

Ardhi hii ambayo kumwagilia ni mashamba ya nyanya ambapo raia wanazuia maji kwa ajili ya kumwagilia mashamba yao katika masaa ya asubuhi.

Waziri mkuu amezindua mradi hiyo baada ya jimbo la mashariki mwa Rwanda kukabiliwa na kiangazi.


akizindua miradi hiyo, waziri mkuu Anastase Murekezi alikuwa pamoja na waziri wa kilimo na ufugaji Geraldine Mukeshimana

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments